Nunua Bando la Intaneti
Jiunge na data hour leo saa 11 jioni

Kuhusu Data Datani

Data Datani ni promosheni inayokupatia mteja Bonus za MB (intaneti) hadi mara mbili ya bando lako kila unaponunua kifurushi cha intaneti kwa bei ile ile na kukuwezesha kufanya zaidi na Mtandao Supa wa Vodacom.

Bonus za MB za Data Datani zinatumikaje? 

Bonus hizi zinakuwezesha mteja wetu wa Data Datani kufanya zaidi kwenye

Mtandao Supa kwa:

  • Kuperuzi
  • Kuangalia video kupitia YouTube
  • Kufanya zaidi kwenye mitandao ya kijamii (Instagram, FB & Whatsapp)

Jinsi ya kupata Bonus za Data Datani

Mteja wa Data Datani atapata Bonus kwa kila kifurushi cha intaneti atakachonunua.

Mr. Data

Pata dondoo na habari zaidi kuhusu matumizi
yako ya data kutoka Mr. Data.

Karibu kwenye Vodacom Data Datani, tafadhali tupe namba yako ya simu kuanza.